Wizara Ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida

Dira & Dhima

Dira

Kusambaza maji ya uhakika na ya kutosha, safi na salama kwa wakazi wa Mji wa Singida pamoja na kuondoa majitaka kwa wakati muafaka na kwa bei nafuu

Dhima

Tuna mwelekeo wa kuwa kati ya mamlaka bora inayofanya kazi zake kwa mtazamo wa kibiashara