Njia za Malipo
Unaweza kufanya malipo kupitia mitandao ifuatayo ya simu. Hakikisha unatumia kumbukumbu namba yenye tarakimu 12 unayopokea kila mwezi.
TigoPesa
- Ø *150*01#
- Ø 4 Lipia bili
- Ø 5 Malipo ya serikali
- Ø Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)
- Ø Ingiza kiasi
- Ø Ingiza namba ya siri kukamilisha malipo
M-Pesa
- Ø *150*00#
- Ø 4 Lipia kwa M-Pesa
- Ø 5 Malipo ya serikali
- Ø 1 Namba ya malipo
- Ø Weka namba ya malipo (ni kumbukumbu namba yenye tarakimu 12 unayopata kila mwezi)
- Ø Weka kiasi unachodaiwa
- Ø Weka namba ya siri kukamilisha malipo
HaloPesa
- Ø *150*88#
- Ø 4 Lipa kwa HaloPesa
- Ø 7 Huduma za serikali
- Ø Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)
- Ø Ingiza kiasi
- Ø Weka namba ya siri kukamilisha malipo