WAFANYAKAZI WA SUWASA WASHIRIKI MAFUNZO YA PROGRAMU YA JTP
Pichani, Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) wakiwa katika Mafunzo ya Programu ya JTP kwa kushirikiana na Wizara ya Maji, yaliyofanyika katika Hoteli ya Regency Manispaa ya Singida.